Ina upana wa mita 60 toka katikati ya barabara kwenda kila upande. Kwa maana hiyo ina upana wa mita 120 including road reserve.Wakubwa, nalileta hili ktk sehemu hii maana linagusa uchumi kwa maana ya miundombinu, pamoja na mali za watu na mashirika. Eneo la hifadhi ya barabara, ni mira ngapi kutokea katikati ya bara bara? Nimeona bomoa bomoa imeanza mkrogoro road, wadau wenye uelewa naomba watuelekeze.
Ina upana wa mita 60 toka katikati ya barabara kwenda kila upande. Kwa maana hiyo ina upana wa mita 120 including road reserve.
Wakubwa, nalileta hili ktk sehemu hii maana linagusa uchumi kwa maana ya miundombinu, pamoja na mali za watu na mashirika. Eneo la hifadhi ya barabara, ni mira ngapi kutokea katikati ya bara bara? Nimeona bomoa bomoa imeanza mkrogoro road, wadau wenye uelewa naomba watuelekeze.