Hifadhi ya Taifa Kigosi yafutwa rasmi na kuwa msitu wa hifadhi ya Kigosi

Rais ni kama anaonekana ndiye fisadi mkuu.....

HiI tuhuma hazijawahi kupata majibu zaidi ya kuwakamata wote wanaohoji
 
Usichanganye Issues za Carbon Dioxide Credit na Mambo ya kumiliki MISITU!!!
 
Nchi hii maamuzi yote hayaangalii vizazi hata viwili mbele, wanaangalia mahitaji ya serikali hii ya sasa tu!
Nakumbuka viongozi wa CCM na wabunge wakati wa jk, walikuja na hoja kwamba msitu wa Vikindu ugawiwe kwasababu hauna miti mikubwa, yote imekatwa! Wakati huo, hoja ilipopelekwa idala ya misitu, maafisa wa wakati huo, wazalendo wa Nyerere walikataa katakata, walisema eneo la msitu ndo muhimu kuwepo, miti inaweza kupandwa na kukua wakati wowote huko mbele!
Kwa sasa eneo la msitu wa Vikindu linakatwa kila siku, akina PM, kila mradi eneo msitu wa Vikindu! Maafisa misitu wa sasa hawawezi kusimamia taaluma zao, wanaogopa kufukuzwa kazi!
Hoi nchi haina mipango endelevu kabisa!
 
Ila Mchengerwa siyo Mzanzibar. Ni Mtanganyika. SEMA ni mke wa mama!
 
Msimtihumu mama wa watu. Tatizo ni Watanganyka. Mawaziri wa Wizara zote nyeti ninazohusu maliasili ni Watanganyika. Jafo ni Mtanganyika, Mchengerwa ni Mtanganyika, Dotto Biteko ni Mtanganyika, Majaliwa ni Mtanganyika. Makamba Mtanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…