BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Amboseli sasa ni rasimi itasimamiwa na kuendeshwa na kaunti ya Kajiado kumbuka hata Masai mara inasimamiwa na kaunti ya Narok ambayo ndio inachukua mapato.
Sasa piga picha pale Ngorongoro jinsi Wamasai wanavyo furushwa kama digidigi ili eneo wapewe Waarabu Wajomba.
Au jiulize Serengeti inawafaidisha vipi wenyeweji? Manyara inawafaidishwa vipi wenyeji? sio hifadhi tu nenda Migodini uone madini yanavyo chimbwa na raia wanao ishi kule wakibakia masikini wa kutupwa. Kule North Mara ni full umasikini nenda Geita huko.
Tanzania kasi ya kuhamisha raia na kuwapa maeneo wawekezaji ni kasi ya kutisha kabisa.