Hifadhi za Taifa imetoa nafasi nyingi za kazi soma Dairly news ya leo

Hifadhi za Taifa imetoa nafasi nyingi za kazi soma Dairly news ya leo

marykino

New Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
4
Reaction score
0
wana JF , tunaweza kusoma daily news la leo kuna nafasi za kazi mbalimbali, pia nkuna scholarship kwa ajili ya masters na PhD nchini China.
 
asante mdau,ila wengine huku tulipo kulipata ni issue,ingekuwa bora zaid km ungetuwekea hapa.
 
wana JF , tunaweza kusoma daily news la leo kuna nafasi za kazi mbalimbali, pia nkuna scholarship kwa ajili ya masters na PhD nchini China.

asante kwa taarifa mkuu
 
kuna moja ya internal auditor uwe na (CPA)
nyingine ni za accounts diplona/advance diploma nafasi 30+
na offfice attendant kama 5
 
wekeni basi hapa, wengine tumepinda hata gazeti hatuwezi kununua
 
Back
Top Bottom