TRAX TRADING COMPANY
Member
- Mar 19, 2026
- 11
- 11
Mkuu haya ni mapya kabisa, used au refurbish?Jipatie Bus kali lenye bei Nafuu
Higer KLQ6136DF pamoja na Higer PF4
Lenye choo au bila choo
Bei zetu ni nafuu na unalipa kwa awamu
Weka order yako sasa
📞 +255622726182
📍Magomeni Kanisani
Stock ni limited
View attachment 3561752View attachment 3561753View attachment 3561754View attachment 3561755View attachment 3561756View attachment 3561757View attachment 3561758View attachment 3561759View attachment 3561760View attachment 3561761
Hivi Afisa masoko umefanya makusudi, au ni bahati mbaya kwa kushindwa kuweka bei halisi ya haya mabasi yenu, pamoja kiwango cha malipo ya kidogo kidogo kwa wateja wenu?Jipatie Bus kali lenye bei Nafuu
Higer KLQ6136DF pamoja na Higer PF4
Lenye choo au bila choo
Bei zetu ni nafuu na unalipa kwa awamu
Weka order yako sasa
📞 +255622726182
📍Magomeni Kanisani
Stock ni limited
View attachment 3561752View attachment 3561753View attachment 3561754View attachment 3561755View attachment 3561756View attachment 3561757View attachment 3561758View attachment 3561759View attachment 3561760View attachment 3561761
Eee!! Nalipia stock yangu alafu niwe dalali 😃mtu anaposhindwa kutaja bei mara nyingi ni dalali
Higer ya bila Choo Bei Milioni 421Mkuu haya ni mapya kabisa, used au refurbish?
Bei zake zipoje? Usifiche bei weka bei hadharani
Yamelipiwa kodi ya TRA?
Higer ya bila Choo Bei Milioni 421Hivi Afisa masoko umefanya makusudi, au ni bahati mbaya kwa kushindwa kuweka bei halisi ya haya mabasi yenu, pamoja kiwango cha malipo ya kidogo kidogo kwa wateja wenu?
"Bei nafuu" ni sawa na shilingi ngapi za Kitanzania?
Nenda kampuni yoyote ya magari iwe Scania au kwa Mchina kama utakuta bei… au na wao wanakuibia?kila mtu na bei yake huko PM, biashara za wizi hizi
Higer ya bila Choo Bei Milioni 421Mh!! Gari hili Billion 1 duh ! Mbona bei kali sana
Gari ni mpya 0KMMkuu haya ni mapya kabisa, used au refurbish?
Bei zake zipoje? Usifiche bei weka bei hadharani
Yamelipiwa kodi ya TRA?
Hii imekaa viziri. Unhefafanua pia kwa wale wanunuzi wa kutoa asilimia fulani, na nyingine iliyobakia kuimalizia taratibu.Higer ya bila Choo Bei Milioni 421
Higer yenye choo Bei Milioni 428
Kodi imejumuishwa