High Costs in Kenya push traders to Dar-es-Salaam Port


Everything is taken care of. We are reclaiming back what we had.
 
wewe nilisha kwambia utafute mwl. wa lugha akuongezee ujuzi wa kuandika na kutamka maneno kwa ufasaha.hujui kizungu hujui kiswahili.unajua kikamba tu.

pofu-povu

numbani-nyumbani.

you can run but you can not hide bro. side shows hazitakusaidia

[h=1]Zambian Businessman cries out against corruption during car clearance in Dar es Salaam[/h]


4,311 views | 29 Comments | Email This Post | Print This Post |
Dear Sir,
I am a Zambian business man right now here in Dar es Salaam trying to clear my cars for the past 8 days to no avail.These Tanzanian clearing urgents are just giving excuses that the system is not ok and sometimes not even answer our calls.
There dry ports corruption is too much that only people ‘ten percenting’ are clearing quickly.
I really wonder what these Zambian officials at the High commission are doing here in Tanzania.Are they just to get paid using our tax payers money?
This is the reason we voted PF in office but things still and seems to be the same.
I would suggest the government develope other ports like Bengela in Angola and Mozambique.
By copy of this letter I challenge the high commissioner to go around all dry ports in Tanzania and see how Zambians are suffering and becoming stranded.
We are not fools so this guys on our pay roll should help us.
Yours frustrated and stranded young business man.
Related News:
 
Wapo, wanapotosha sana. Wakibanwa wanaishia kutukana

huwezi kuweka mjadala na mtu ufahamu wa mada hana ni kubweka toka asubui mpaka magharibi na chuki za binafsi kuhusu kenya. angalia mijadala kuhusu tz mnaikimbia kuja kubweka na tusi kuhusu kenya. hatuna huo muda!!!!
 
inauma na kuumiza lakini ndo ukweli japo hatuko tayari kuukubali
 
Everything is taken care of. We are reclaiming back what we had.
Haya, ila kumbuka reli ya SGR ikikamilika tutawafikishia Waranda containers kwa masaa 24, hapo kama nilivyosema tutawatongoza hadi Wakongo na Warundi, hata na Wabongo wote wa Mwanza na Arusha.
 


Ha ha ha. Umesahau tatizo sio kubanana ila trend ya tz in closing the gap. Kama ni geographical advantage ya tz over kenya haijaanza leo mkuu! There is something coming up day in day out.
 


Tunajadili kitu kingine wewe unaleta isssue za kale. Tunachozungumzia sasa hivi ni cost effectiveness ya kupitishia mzigo bongo badala ya mombasa. We unachozungumzia ni potential zaidi ya dar port kama inefficencis zitakuwa addressed.
 
huwezi kuweka mjadala na mtu ufahamu wa mada hana ni kubweka toka asubui mpaka magharibi na chuki za binafsi kuhusu kenya. angalia mijadala kuhusu tz mnaikimbia kuja kubweka na tusi kuhusu kenya. hatuna huo muda!!!!

Kama uko makini zaidi utagundua kuwa lazima kenya itajwe kwenye hii mada. Kama unabisha rudia tena kusoma jina la uzi huu.
 
Ha ha ha. Umesahau tatizo sio kubanana ila trend ya tz in closing the gap. Kama ni geographical advantage ya tz over kenya haijaanza leo mkuu! There is something coming up day in day out.

Ninacho elewa Watz mkapunguza uvivu, inferiority complex na lawama mtaipiku Kenya na kuwa taifa bora Afrika, ila kwa sasa bado shughuli.
 
Haya, ila kumbuka reli ya SGR ikikamilika tutawafikishia Waranda containers kwa masaa 24, hapo kama nilivyosema tutawatongoza hadi Wakongo na Warundi, hata na Wabongo wote wa Mwanza na Arusha.

kwa rwanda hii ya dictator paul kagame ambaye alimlaghai uhuru kenyatta kujiunga COW,hatutashangaa akilazimisha warwanda wafanyabiara kupitisha mizigo yao bandari ya mombasa hata kama kuna unafuu bandari ya dar.

ila burundi,congo,malawi na zambia mtaishia kuwatamani tu mpaka mwisho wa dunia.bandari ya tz itabaki kuwa mkombozi wao daima.
 

Tatizo la Wabongo mnafikiria biashara hufanywa kwa hisia, it's all about efficiency and cost cutting, nothing personal na ndio maana unaona wateja wenu wanayumba, mara wapo Mombasa mara ndio hao wanarudi Dar. Tukifaulu kumfikishia Mrwanda container kwa chini ya masaa 24, hapo Murundi na Mkongo hatakua na budi ila kutumia miundo yetu hadi mtakaposhtuka na kujiboresha.

Kwa sasa tutazidi kubanana huko kwa hao wateja ambao wanafaa kuwa wenu kiasili. Duh!! jameni Wakenya noma.
 
Tunajadili kitu kingine wewe unaleta isssue za kale. Tunachozungumzia sasa hivi ni cost effectiveness ya kupitishia mzigo bongo badala ya mombasa. We unachozungumzia ni potential zaidi ya dar port kama inefficencis zitakuwa addressed.

mkuu pole sana.
huyo dogo kichwa chake ni kigumu sana ku-analyse issues.hapo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa

at least the only thing he can do is to share any junk from google that goes against tz. unfortunately he draws a blank to check for the validity of his source.poor him.
 
Tukifaulu kumfikishia Mrwanda container kwa chini ya masaa 24, hapo Murundi na Mkongo hatakua na budi ila kutumia miundo yetu hadi mtakaposhtuka na kujiboresha.

mrwanda hata msipo fanikiwa kunfikishia container zake kigali chini ya masaa 24,bado kagame ata enforce wafanyabiashara wa nchi yake watumie bandari ya mombasa.ni swala la kidiplomasia zaidi kati ya tz na rwabda,sio efficiency,cost cutting or road infrastructure .hutakiwi kuwa na degree ya political science kujua hilo.
hivyo basi hatutashangaa kwa kinakachotekea au kinacho tokea sasa hivi kuhusu rwanda na bandari ya mombasa.

ila kwa congo na burundi mtaishia kuota ndoto za alinacha.mtakufa kwa "wivu wa kijinga" round hii.lol
 

Haya basi hata kisiasa, mwisho wa siku ni biashara, elewa biashara ni siasa, kama nyie mnajifanya mabingwa wa kukosana na majirani hiyo ni yenu. Basi hatujali biashara ya Kagame.
Wakenya ni sisimizi, huwa hatuzubai, kumbuka hata kwenye World Bank Logistics Performance Index 2014 (LPI) tumewabwaga, Kenya ipo namba 74 wakati Tanzania inahangaika kwenye namba 138 pamoja na miundo mbinu yenu. Country Score Card: Kenya 2014 | Logistics Performance Index
 

Who halted the use of dry ports at Isaka and Mbeya? TAZARA and TRL could help a lot to improve the cargoes on transit by fetching them to those two areas. Customers closer to the areas could be able to cut down cost even much more than the way it is now with trucks operating direct from Dar port.
 

Kenya mnafanya biashara kwa kutumia nini? Ubongo? Benz ya rais mmepeleka wapi?
 
Ninacho elewa Watz mkapunguza uvivu, inferiority complex na lawama mtaipiku Kenya na kuwa taifa bora Afrika, ila kwa sasa bado shughuli.

Tunawalisha lakini. Watz hatusumbiliwi na hicho unachokiita inferiority complex maana tumefundwa tangu kale binadamu wote ni sawa. Kwetu sisi thamani ya mtu haiko katika alichonacho au asicho nacho ila ktk utu wake. Na ni kwa msingi huu huwa tunaona kujikweza kwa wakenya ni porojo zisizo na msingi na tunapozikemea nyie mnadai tuna inferiority complex. Yaani mm nikuogope wewe eti kwa sababu ni mkenya? Yatakuwa ni maajabu ya karne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…