victoire hujambo, naona jana hekalu la bwana lilitaka kuchafuliwa.Kwa kweli haki itendeke, Bravo wakenya kiukweli mlijifunza sana 2007.Na sisi itabidi tuchapane tu ili tujifunze.
Rwanda na Burundi walishawekewa chuki baina ya watutsi na wahutu. Wabelge waliwapandia mbegu ya chuki inawatafuna vizazi na vizazi. Sisi kwetu itakuwa nguvu ya umma dhidi ya utawala bila kujali kabila. Burundi na Rwanda hawajafanikiwa sababu ya uhutu na ututsi.victoire hujambo, naona jana hekalu la bwana lilitaka kuchafuliwa.
Tukichapana tutakuwa na akili. Lakini mbona Rwanda/ Burundi bado ni yale yale pamoja na mauaji ya halaiki!
No impact at all. Uchaguzi utafanyika kesho baada ya SCoK kukosa quorum kwa msingi wa kukosa idadi maalum ya majaji kusikiza na kuamua kesi ya kuhairisha uchaguzi.Hii taarifa ina impact gani katika uchaguzi wa kesho?
ukija upande wa pili unampigia vigelegele bob mikwara. huku kenya unatamani na sisi tuchapane ili heshima iwepo. hueleweki dadaKwa kweli haki itendeke, Bravo wakenya kiukweli mlijifunza sana 2007.Na sisi itabidi tuchapane tu ili tujifunze.
Lazima nisieleweke Kwako, binafsi Mukulu akifanya vyema huwa nampongenza na akivurunda huwa namsema. I'm a free soul.ukija upande wa pili unampigia vigelegele bob mikwara. huku kenya unatamani na sisi tuchapane ili heshima iwepo. hueleweki dada
sidhani Kama kuchapana kwaweza Leta suluisho, kinachotakiwa kuomba Sana, ili viongozi wetu wawe na roho wa Mungu. Wasiwe na matamanio ya utawala bali watamani kuongoza kwa haki.Kwa kweli haki itendeke, Bravo wakenya kiukweli mlijifunza sana 2007.Na sisi itabidi tuchapane tu ili tujifunze.