High heels.

High heels.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
7,956
Reaction score
5,149
confortables-shoes.jpg


Ukiwa na mpenzi anayetaka fashion mpya kila siku hii ndio dawa yake,kisha unalazimisha mtoke naye mkacheze twanga pepeta.
 
hii ni adhabu sana jamani..
angalia hizo cheni utasema ndo anaenda jela bwana...
kama ndo kunachupa zilizovunjika chini hata hiyo twanga pepeta itakuwa chungu....
bwana tunapenda urembo na fashion lakini si adhabu.....
 
Ehee!!hiyo si misumari ya inch 6??yakupigia kwenye rinta au??sioni vizuri??
 
We Paka hujui raha ya high heels. hadi samba nacheza nazo!!
Ila hiyo yako ni kali mweh
 
ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, misumari jamani hiyo.
 
Ukisugua kisigino hapo patakuwa hapatoshi!!!
 
Back
Top Bottom