St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,956 Reaction score 5,149 Nov 22, 2010 #1 Ukiwa na mpenzi anayetaka fashion mpya kila siku hii ndio dawa yake,kisha unalazimisha mtoke naye mkacheze twanga pepeta.
Ukiwa na mpenzi anayetaka fashion mpya kila siku hii ndio dawa yake,kisha unalazimisha mtoke naye mkacheze twanga pepeta.
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,279 Reaction score 310 Nov 23, 2010 #2 hii imenichekesha sana
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Nov 23, 2010 #3 hii ni adhabu sana jamani.. angalia hizo cheni utasema ndo anaenda jela bwana... kama ndo kunachupa zilizovunjika chini hata hiyo twanga pepeta itakuwa chungu.... bwana tunapenda urembo na fashion lakini si adhabu.....
hii ni adhabu sana jamani.. angalia hizo cheni utasema ndo anaenda jela bwana... kama ndo kunachupa zilizovunjika chini hata hiyo twanga pepeta itakuwa chungu.... bwana tunapenda urembo na fashion lakini si adhabu.....
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Nov 23, 2010 #4 Hivyo kumbe ni viatu? Mwe!
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Nov 23, 2010 #5 Ehee!!hiyo si misumari ya inch 6??yakupigia kwenye rinta au??sioni vizuri??
R R_chuggani Member Joined Nov 29, 2010 Posts 18 Reaction score 1 Nov 29, 2010 #6 braaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,474 Reaction score 4,039 Nov 29, 2010 #7 We Paka hujui raha ya high heels. hadi samba nacheza nazo!! Ila hiyo yako ni kali mweh
roselyne1 JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 1,365 Reaction score 95 Nov 29, 2010 #8 hahahah hii kali...
Amanda Senior Member Joined Mar 24, 2010 Posts 150 Reaction score 37 Nov 29, 2010 #9 ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, misumari jamani hiyo.
Julz Senior Member Joined Nov 10, 2010 Posts 107 Reaction score 21 Nov 29, 2010 #10 Ukisugua kisigino hapo patakuwa hapatoshi!!!
NILHAM RASHED JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 1,622 Reaction score 43 Nov 30, 2010 #11 too much..... allahu akibar ...lol