High perfomance cars!

vanus

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2017
Posts
1,151
Reaction score
2,896
Wakuu kwema?

Mm ni muumini mkubwa wa haya magari ambayo yana perfomance kubwa na nzuri hapo road, pia kwa maswala ya masafa marefu

Hii ni list yangu fupi ya highly perfomance car:

1–subaru forester crossport turbo

2–mitsubishi lancer Evo

3–subaru imprezza WRX turbo

4–Nissan GT–R

Fanya kudondosha na ww list yako kali ya magari unayoyakubali
 
Huku bongo lipo hili?
mengi yapo kenya linachomoka si mchezo, kuna clip flan niliona mtandaoni jamaa wa subaru alkuwa kama ame overtake hii nissan GT, ghafla jamaa wa Gt akajaza moto wa laana,subaru ilipitwa kama upepo wakabaki wanacheka tuu, ipo youtube hii clip

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hiyo list hakuna gari jnayoifikia mistubishi Evo huo ni moto
 
Subaru Forester Cross Sport walipokosea ni kuweka transmission gia 4 tu kwa automatic mara mia upate manual yake yenye gia 5 utaifurahia...au ukipata Forester STI SG5 ingawa ushuru wake ni mkubwa sana kama 29m hivi...
 
Subaru Forester Cross Sport walipokosea ni kuweka transmission gia 4 tu kwa automatic mara mia upate manual yake yenye gia 5 utaifurahia...au ukipata Forester STI SG5 ingawa ushuru wake ni mkubwa sana kama 29m hivi...
Hii STI G5 kwa auto iko vyema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Subaru forester yenye turbo nilitaka kununua mwaka juzi Ila baadae nikabadilisha maamuzi nikavuta rumion Ila sometimes najilaumu kwanini niliogopa kuchukua hiyo ndinga... nimeshawah kuendesha kidogo Toka chamazi Hadi tegeta nimeipenda Sana hiyo chuma..

Tatizo la gari zetu za Japan ni 4 speed transmission ndiyo maana tukikutana na akina Volkswagen golf GTi tunaishia kuisoma namba Tu maana hii ndinga hata uwe na crown utakalishwa tu
 
Hatari sna mkuu, hivi ule moto unaotoka kwenye exhaust huwa kunafanyika mechanism gani mpaka iwe hivo? Au ndo wanafanya tuning?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…