Huu ni mtambo waku balance Nginu ya umeme
Kwa maeneo ambayo Umeme unazidi na kupungua basi watahitaji hii kwaajili yakuweka sawa na kutoa voltage zinazohitajika
Mtambo nimkubwa 40ft upo mbezi beach
Kwa wenye viwanda vikubwa na wamiliki wa villa wanahitaji hii kitu bei dollar 200,000