A
Anonymous
Guest
Najitambulisha kama Mwanachuo wa Chuo Kikuu kimoja hapa Tanzania na mdau wa Jamii Forums.
Nalalamikia Loans Board kuchelewesha malipo kwa Wanafunzi vyuoni. Mfano chuoni kwetu tumefungua Tarehe 21/10/2024 lakini mpaka sasa tumeingia mwezi Novemba 2024 hawajafanya malipo japo ya allocations kufanyika mapema tukiwa bado tupo likizo. Tunapitia wakati mugumu kuendesha maisha chuoni hatuna pesa za kujikimu.
Naishauri HESLB kufanya malipo ya Wanafunzi kwa wakati isitupe wakati Mugumu Wanafunzi wengine wanatokafamilia za chini ambazo hazina uwezo wa kumudu.
Wengine wanafungua Vyuo wiki hii inayoanza Novemba 4, 2024 na kawaida Mwanafunzi anatakiwa kuingiziwa fedha wiki moja au siku chache kabla ya kuanza mwaka wa masomo, pia kuna Watu hata allocation kujua kiasi tulichopangiwa Mwaka 2024/25 bado hawajajua.
Je, na ni lini HESLB itakamilisha malipo kwa Wanafunzi?