Huu ni utapeli na siku zote anayetapeliwa ni yule mwenye tamaa. Hapa sio facebook mpaka ufichefiche, sifa ya jf ni kuweka mambo wazi. Pengine jf ni shule tosha yenye kila aina ya mwl, usidhan kama una wazo jipya ambalo jf nzima hakuna anayelijua. Hata kama kuna unacho kijua kubali kujifunza toka kwa wengine.