Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Vyura mmeshalipa mishahara?Huyo ni Dewji. Remember Azim Dewji? Zile Canter za Simba? Hao ni mtu na mjomba!
Ahadi hewa.
Sema huna taarifa au umeamua kudanganya makusudi, usahihi ni kuwa ameshawapa boda boda zao.Hao mikia wenyewe aliowahidi boxer wakichukua ubingwa tpl hadi hajawakabidhi hizo boda boda
Leta picha akiwakabidhi,unamjua mo wewe anavyopenda show offSema huna taarifa au umeamua kudanganya makusudi, usahihi ni kuwa ameshawapa boda boda zao.
Leta picha akiwakabidhi,unamjua mo wewe anavyopenda show off
Mo anadhani watu wote ni mbumbumbu kama Simba...Baada ya kuangalia mechi ya kwanza ya timu ya Kill Stars iliyochini ya Mgunda kama head coach namna ilivyo disorganized na inacheza bila mipango yoyote, MO amekuja na ahadi ambayo anajua kabisa hii timu haiwezekani ikafanikiwa na kuleta kombe la CECAFA.
Najiuliza tu kwa nini aseme saizi baada ya kuona mechi ya kwanza wakipigwa 1-0 na Kenya? Why hakuahidi kabla ya mechi zote kuanza? Kesho tunacheza na Wazenji ambao mara nyingi huwa wanakamia sana na hutufunga.
Kwa namna ile timu inavyocheza kwa wazenji lolote linaweza kutoka, tukipambana sana Tanganyika tunaweza pata sare.
MO anajua anachofanya, timu yetu bado sana.
View attachment 1287292
Hiyo sheria ya serikali ilitungwa wapi na kina nani waliipitisha?May next year huyo mwamba anaingia tena sio peke yake na wenzie wawili jumla watakua 3 kama sheria ya serikali inavyosema
Ukiwa huna taarifa sahihi uwe unakaa kimya sio kuzungumza uongo na vitu usivyovijuaHao mikia wenyewe aliowahidi boxer wakichukua ubingwa tpl hadi hajawakabidhi hizo boda boda