Hivi boda boda za Mo zinauzwa bei gani?
Hivi hawa tifutifu huwa wanapata wapi makocha wabovu kwa timu ya taifa??? kupeana mapande tu.Baada ya kuangalia mechi ya kwanza ya timu ya Kill Stars iliyochini ya Mgunda kama head coach namna ilivyo disorganized na inacheza bila mipango yoyote, MO amekuja na ahadi ambayo anajua kabisa hii timu haiwezekani ikafanikiwa na kuleta kombe la CECAFA.
Najiuliza tu kwa nini aseme saizi baada ya kuona mechi ya kwanza wakipigwa 1-0 na Kenya? Why hakuahidi kabla ya mechi zote kuanza? Kesho tunacheza na Wazenji ambao mara nyingi huwa wanakamia sana na hutufunga.
Kwa namna ile timu inavyocheza kwa wazenji lolote linaweza kutoka, tukipambana sana Tanganyika tunaweza pata sare.
MO anajua anachofanya, timu yetu bado sana.
View attachment 1287292
Angetoa kabla timu haijasafiriMbona unaangalia/unatafsiri kwa jicho baya...Mimi nafikiri ,anawapa moyo hata Kama wamefungwa!
Ujanja ujanja mwingi Sana hawa wahindiHuyo ni Dewji. Remember Azim Dewji? Zile Canter za Simba? Hao ni mtu na mjomba!
Ahadi hewa.
Wanaokoteza okoteza tu wale wasiowakosoa sanaHivi hawa tifutifu huwa wanapata wapi makocha wabovu kwa timu ya taifa??? kupeana mapande tu.
😀😀😀😀Mo anajua anachokifanyaHii ni kama umwambie Agustino Mrema ukiwa raisi 2020 nakuozesha binti yangu
Hakuna bepari wa mapenzi ya dhati kila kitu ni strategyHuyu Mhindi huwa nina doubt nae sana,anaipenda Tanzania kweli huyu ?Naona anapenda fursa za Tanzania tu.Hapo naona anatangaza pikipiki zake tu.
😎😎😎Ramli chonganishi
We ni mfanyakazi wetu we mkatwa mkia?Vyura mmeshalipa mishahara?
Zilikua ni KIAHuyo ni Dewji. Remember Azim Dewji? Zile Canter za Simba? Hao ni mtu na mjomba!
Ahadi hewa.
Aka chai maharage, zilikuwazinapiga daladala....
Mmeshalipa mishahara?We ni mfanyakazi wetu we mkatwa mkia?
Mchukueni nyieMmeshalipa mishahara?
Balinya kaondoka unajua
Hatuchukui Magarasa sieMchukueni nyie
Basi acha keleleHatuchukui Magarasa sie
Chinezeeee, ogwa nwankwu pruuuBasi acha kelele
Leta picha akiwakabidhi,unamjua mo wewe anavyopenda show off
Angetoa kabla timu haijasafiri
Na siwezi kuwa mbumbumbu fc " never"Hata angeahidi kabla ya hiyo michuano kuanza bado mngeponda tu, msingekosa cha kusema!
...bila shaka wewe ni mfuasi wa mbute mbute, maana mkisikia jina la MO tu nilazima kiharo kigonge chupi!
Sent from my iPhone using JamiiForums