Nicheke kisa nini?
Nipo mbele ya Mola wangu natakiwa niwe msafi kuanzia mwili, mawazo na sehemu ninayofanyia ibada. Kimoja kikipungua ibada yangu haitokamilika.
And you reckon I will still have the audacity to laugh? [emoji848][emoji848]
Mmh!!!! wewe afadhari kidogo nimejapa kwenye daladala, ya mbagara leo nikiwa karibu na Konda, konda kanijibu si ungekunya moja kwa moja ili nijue kabisa hiki ni choo chako......nikaka shuka kituo kilichafuatia kwa aibu.Hiyo sio aibu!inaonesha wewe nikilaza hujui chochotee....aibu imemfika mwezio mmoja Lio,tuko mskitini sala ya ijumaa,mawaidha watu wako kimya....madogo flani wanavizii wamesiziaa hahhaah maraa tukaskia praaaaaaaaaah Tena ile ya nguvu,hahaha nilitaka nichekee Ila sema sio poa.madogo muache kusizia misikiti na makanisani
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
kichwa kipi...kama hiki cha juu ww huna kitu ni Kilaza pro maxOya mm sio kilaza mzee niko vizuri kichwani
unaniuaga na kiingereza chako tuuNicheke kisa nini?
Nipo mbele ya Mola wangu natakiwa niwe msafi kuanzia mwili, mawazo na sehemu ninayofanyia ibada. Kimoja kikipungua ibada yangu haitokamilika.
And you reckon I will still have the audacity to laugh? [emoji848][emoji848]
Wewe ni kilaza unakataa nini?Oya mm sio kilaza mzee niko vizuri kichwani
Sio wewe tu ata me ningeshindwaHabari za mchana wana JF,
Kuna siku tulikuwa darasani tunapiga kelele kinoma tena mm ndio nikiwa kiongozi wa hayo makelele tena nikiwa nimekaa dawati la mbele kabisa.
Wakati huo nipo kidato cha nne ndipo mwalimu wa hesabu akingia baada ya kusikia ya makelele na kunikuta nikijiachia akaamuwa kunipa adhabu akasema ukifanikiwa kusolve hili swali basi nimekusamehe ila ukishindwa imekula kwako kabisa nilipewa swali la hesabu.
LogA + LogA = ??
Huwezi amini jasho lilinitoka kuanzia kichwani hadi miguuni.
Tena hapo ni darasani natakiwa nisolve ubaoni[emoji23][emoji23]
Ile aibu sihisahau maishani mwangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]