ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Nilitegemea kuona upinzani mkali kwenye game ya timu hii dhidi ya simba lakini matokeo ndiyo yakawa yale
Leo hapa nasikia kumbe timu hiyo ilipigwa tena goli 5 na wenyeji al hilal nikastuka,maana kwa miaka mingi jina asante kotoko lilikua jina la kuheshimika katika soka,sasa nilivyopata matokeo haya kwangu lnimeshangaa na kujiuliza kulikoni?
Kweli hii ni ile Asante kotoko niliyoijua miaka yote?
Kweli soka la ghana limeporomoka kiasi hiki?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app