ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Wachezaji wake wengi wapo timu ya Taifa wanacheza mechi za CHAN wamepeleka kikosi BNilitegemea kuona upinzani mkali kwenye game ya timu hii dhidi ya simba lakini matokeo ndiyo yakawa yale
Leo hapa nasikia kumbe timu hiyo ilipigwa tena goli 5 na wenyeji al hilal nikastuka,maana kwa miaka mingi jina asante kotoko lilikua jina la kuheshimika katika soka,sasa nilivyopata matokeo haya kwangu lnimeshangaa na kujiuliza kulikoni?
Kweli hii ni ile Asante kotoko niliyoijua miaka yote?
Kweli soka la ghana limeporomoka kiasi hiki?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
umepiga kwenye mshonoHapana mkuu,hii siyo Asante Kotoko tunayojua,wale ni Vipers.
Simba inatuhusu lazima tufuatilieKama kawaida watu wenye roho ya korosho badala ya kukazania timu yao. Ipate mechi za kirafiki wanafatilia mambo yasiyowahusu
Bila shaka hujafuatilia mpira siku nyingiNilitegemea kuona upinzani mkali kwenye game ya timu hii dhidi ya simba lakini matokeo ndiyo yakawa yale
Leo hapa nasikia kumbe timu hiyo ilipigwa tena goli 5 na wenyeji al hilal nikastuka,maana kwa miaka mingi jina asante kotoko lilikua jina la kuheshimika katika soka,sasa nilivyopata matokeo haya kwangu lnimeshangaa na kujiuliza kulikoni?
Kweli hii ni ile Asante kotoko niliyoijua miaka yote?
Kweli soka la ghana limeporomoka kiasi hiki?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Shida yenu mnahangaika kutafuta mechi na timu dhaifu matokeo yake tukikutana na tunawapiga kirahisiHapana mkuu,hii siyo Asante Kotoko tunayojua,wale ni Vipers.
Hivi wewe jamaa hua unaifikiria familia yako kama unavyo ifikiria Yanga?Wape watu matokeo ya Uto na Somalia under 20
Mada imekuwa ya oktoba 23 na sio kotoko?Shida yenu mnahangaika kutafuta mechi na timu dhaifu matokeo yake tukikutana na tunawapiga kirahisi
Na mjiandae oktoba 23 tutaanzia pale tulipoishia,hamsa zinawahusu mara hii
Moloko.....Fiston...
Aziz k........Morisson...Faisal....Aucho.
Yannick.....Djuma...Kibwana....Job..
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Shida yenu mnahangaika kutafuta mechi na timu dhaifu matokeo yake tukikutana na tunawapiga kirahisi
Na mjiandae oktoba 23 tutaanzia pale tulipoishia,hamsa zinawahusu mara hii
Moloko.....Fiston...
Aziz k........Morisson...Faisal....Aucho.
Yannick.....Djuma...Kibwana....Job..
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hopeless Wewe na Uyanga SC wako, Simba SC ingefungwa nayo ( nao ) ungekuja kama hivi Kinafiki na Kuuliza?Nilitegemea kuona upinzani mkali kwenye game ya timu hii dhidi ya simba lakini matokeo ndiyo yakawa yale
Leo hapa nasikia kumbe timu hiyo ilipigwa tena goli 5 na wenyeji al hilal nikastuka,maana kwa miaka mingi jina asante kotoko lilikua jina la kuheshimika katika soka,sasa nilivyopata matokeo haya kwangu lnimeshangaa na kujiuliza kulikoni?
Kweli hii ni ile Asante kotoko niliyoijua miaka yote?
Kweli soka la ghana limeporomoka kiasi hiki?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mkuu,hii siyo Asante Kotoko tunayojua,wale ni Vipers.
kwa hiyo hapa umenijibu ombi langu 🤣🤣Hivi wewe jamaa hua unaifikiria familia yako kama unavyo ifikiria Yanga?
mechi ipi ya kimataifa hamjawahi kufungwa tangu ujio wa nabii? Nye mnakutana tu na timu ngumu mda wote ? Si mwache basi kufanya mechi za kirafiki au za kimataifaShida yenu mnahangaika kutafuta mechi na timu dhaifu matokeo yake tukikutana na tunawapiga kirahisi