ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 923
- 1,299
Minimum order nne,unaweza ziagiza sema muulize seller shipping methodsWakuu habari zenu....nimejaribu kupita alibaba nimeiona hiyo bajaji,kwa hiyo bei hapo naona inaweza kuwa afordable kuliko kununua hapa Tanzania....japo wameandika min order unatakiwa kununua 4 naomba kuuliza je siwez kufanya manunuzi yake kama watu wa magari wanavyoweza kununua moja kwa moja kutoka japan au kwingineko?View attachment 1106800
Sawa mkuu......ila ningepata mtu akanieleza mpk utaratibu wake kwenye kodi hapa tz nadhani ingenisaidia sana...Minimum order nne,unaweza ziagiza sema muulize seller shipping methods
Aiseee chalii yangu mimi sijui ila wenye viherehere wakujua mambo humu jamvini watakuja kukusaidiaWakuu habari zenu....nimejaribu kupita alibaba nimeiona hiyo bajaji,kwa hiyo bei hapo naona inaweza kuwa afordable kuliko kununua hapa Tanzania....japo wameandika min order unatakiwa kununua 4 naomba kuuliza je siwez kufanya manunuzi yake kama watu wa magari wanavyoweza kununua moja kwa moja kutoka japan au kwingineko?View attachment 1106800
Mkuu tunasaidiana tu sio viherehere bossAiseee chalii yangu mimi sijui ila wenye viherehere wakujua mambo humu jamvini watakuja kukusaidia
Ndio sh ngapi boss tuambiane mkuuAgiza mkuu ila ujipange hapo kwenye kodi siyo mchoze unaweza kuicha bandarini.
Aisee joh vp??Aiseee chalii yangu mimi sijui ila wenye viherehere wakujua mambo humu jamvini watakuja kukusaidia
Sawa boss ngoja nijaribu kuperuz hukoNahis ukiingia website ya TRA utapata lolote.
We agiza ila kama ni used jipange kama ni mpya kidogo kuna unafuu.Ndio sh ngapi boss tuambiane mkuu
Wakuu habari zenu....nimejaribu kupita alibaba nimeiona hiyo bajaji,kwa hiyo bei hapo naona inaweza kuwa afordable kuliko kununua hapa Tanzania....japo wameandika min order unatakiwa kununua 4 naomba kuuliza je siwez kufanya manunuzi yake kama watu wa magari wanavyoweza kununua moja kwa moja kutoka japan au kwingineko?View attachment 1106800
Mkuu njoo PM kama una utayariMkuu ikiumasema habari, Je ulifanikiwa kuagiza bajaji tajwa hapo juu. naomba uzoefu wako. KUAGIZA BAJAJI KUTOKA NJE YA NCHI
Ahsante
Mkuu njoo PM kama una utayari
Je umeagiza gari nje ya nchi na unahitaji Huduma ya clearance ya gari lako? Na unawaza Agent gani atakutolea bandarini Dar es salaam kwa bei nafuu na haraka? Basi angalia bei zangu za baadhi ya magari (Local) ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. na km aina ya gari lako haipo apa usisite kuniuliza.
1: IST - 750,000/=
2: HARRIER New-900,000
3: HARRIER Old-800,000/
4: RAV 4 - 800,000/=
5: RAUM - 750,000/=
6: SPACIO - 750,000/=
7: PASSO - 750,000/=
8: VITZ - 700,000/=
9: PREMIO - 750,000/=
10: ALTEZA - 750,000/=
11: SUBARU - 750,000/=
12: CARINA - 750,000/=
13:COASTER-1,760,000/=
14: CANTER- 1,300,000/=
----------------------------------------
Gharama hizi zinahusisha malipo ya
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no + Registration
----------------------------------------
DM/Piga 0653953900-0719606029
Company: DN holdings
Location: Nkurumah st
Dar es salaam, Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia method gani wakati wa kukununua hiyo bidhaa?, vipi kuhusu shipment, fanya utafiti mzuri kuhusu gharama mpaka kuifikisha hapa hometown unaeza kuta imetofautiana gharama ndogo na wauzaji wa hapa nchiniWakuu habari zenu....nimejaribu kupita alibaba nimeiona hiyo bajaji,kwa hiyo bei hapo naona inaweza kuwa afordable kuliko kununua hapa Tanzania....japo wameandika min order unatakiwa kununua 4 naomba kuuliza je siwez kufanya manunuzi yake kama watu wa magari wanavyoweza kununua moja kwa moja kutoka japan au kwingineko?View attachment 1106800