Mshahara mbuzi, hiyo ndio hoja.
Huezi ukaishi kwa laki moja unusu ktk jiji kama la Dar, halafu ukiulizwa wafanya wapi kazi, eti benki..benki gani imechoka hivo? huo utakuwa ni ujuha. It does not matter anayelipwa hiyo hela mbuzi ana elimu gani..haikidhi matakwa ya maisha ktk commercialised city of our bongoland..PERIOD.
Hao wanakuja kuvolunteer waulize nani anakava mahitaji yao wanapovolunteer na useme kwa kiasi gani..usilete masikhara bana..hii sio Ulaya au Merekani, this is bongoland, tunazo challenge tofauti, na kukariri wanachofanya wengine haitosaidia.
BTW, Serikali inabidi izitupie jicho hizi kampuni za kigeni, maana sioni kama jamii inafaidika chochote na uwekezaji uchwara kama huu.
Nahisi mshikaji unachuki binafsi na huna facts katika hili....usifate mkumbo tu do just a simple reseach utoke na facts. Sikweli kwamba hii Bank inalipa TZS 150,000, inalipa zaidi ya hapo na wafanyakazi wana additional monthly bonuses and allowances kitu amabacho ni organizations chache zinatoa. Kuna loan officers wanafanya kazi hapo ambao nimezungumza nao na wanasema sometimes wana pata bonus peke yake nje ya mshahara mpaka TZS 400,000 ......ukiacha allowance zingine
Tatizo moja nililoliona ni kwamba atanzania hawaja zoea perfomance based pay system ambapo benefits zinakuwa direct linked na productivity ...na hili ni tatizo kwa sababu no way out huko ndiko tunakoelekea kwasasa na makampuni mengi yana adopt hiyo system. Kifupi hii bank inalipa vizuri, basic pay ni zaidi ya kiasi unachotaja hapa, napia bonus system yao haina cap you can earn as higher as you perform. Hizi ni information toka kwa baadhi ya wafanyakazi wao.
Ila inasemekana kunawafanya kazi walifukuzwa for poor performance and intergrity issues, posibly ndio wanao tuma hizi posts.Tusipotoshe ukweli na kuwavunja moyo wadogo zetu wanaotafuta kazi....This is free market you have the right to choose your employer and employers have the same right to choose whom to work with..... Semeni ukweli!!sio kuleta posts zinazopotosha watu hapa!!

Nawezaje kuwa na chuki binafsi na watu ambao wala siwajui*na wala sina shida ya kuwajua* na wala sina hata habari whether they exist or not? In fact they can all go to hell, i wouldn't mind.
Hiyo 150,000 Tsh imekuwa mentioned na ndio nilikuwa narespond hapo kwamba hiyo ni peanut ,thats a fact, hakuna kumung'unya maneno. Mimi sio source ya habari na sijasema popote kwamba ninao ushuhuda wa hiyo 150,000 Tsh..k?
Nikionacho ni wewe kuspin in cycles..kwanza umesema magraduate sijui wanapenda mishahara mikubwa *your first reaction* sasa unaruka kimanga na kusema ati Access benk inalipa vizuri tu, eti umeongea nao..I am not interested with that crap.k? Unezungumza mengi sana ambayo sikuwa nimeyagusia sijui mambo ya kazi za kujitolea sijui magraduate kupenda mishahara mikubwa..sasa nimekujibu hapo halafu unanambia nina chuki, chuki ya nini?
Benki makini haiezi kuajiri F6 leaver kwene kazi za desk..labda manual kama usafi etc..najua mnatumia kigezo cha 'soko huria' na serikali dhaifu inawapa free ride kwa sasa, lakini don't come here and say 150,000Tsh inatosha au magraduate wanataka mishahara mikubwa ..yes, wanatakiwa mishahara itakayowawezesha walipe bodi ya mikopo na kusomesha wadogo zao na kuishi maisha walau ya wastani.
Hiyo Chinese-labor style, ya kuajiri watu wasio na sifa na kuwalipa kiduchu ina ukomo wake, na its matter of time tu kabla body za usimamizi kwene mambo ya fedha hazijapiga hodi kuhakikisha kazi professionals zinafanywa na wataalamu waliosomea na wenye sifa stahili..
Haya kawaambie mabosi wako.
I dont see anything wrong with that.Besides you never this might be temporary jobs and they might not be demanding a graduate education level.Hebu tuwe was kweli hata kama you're being paid 50,00 tsh per month come one i dont think there is anyone hata kama ni baba yako will be capable of giving this money for free even to his lovely child who doesnt work.I mean dont you guys think there are people who are in desperate need for any sort of income?.Have you ever of breakeven? Hata kama ni wewe una kaduka chako huwezi kumlipa mfanyakazi wako alot of money wakati hujaanza kupate profit. Myself i dont see anything wrong at all with it.The thing is mtu anapata hata sehemu ya kujishikiza kwa muda at least anaweza kujinunulia personal things kuliko kutegemea wazazi.After sometimes akipate better job anakwenda.Please let's look at the positive side of it not crashing anything bila kufikiri they are at least helping alot of people out their.Put yourself in the shoes of this desperate boys/girls mtu hata hela ya sabuni hana why woudnt take it.I mean tusipende kukosoa vitu tu bila kuangalia the positive side of it.
...Mimi sioni tatizo na hilo tangazo wala hatupaswi kuwalaumu. Kila mtu kutokana na elimu yake, uzoefu na skills anatambua thamani yake mbele ya muajiri. Kuna watu wanakataa kazi za mshahara wa 4 milion and they are just bachelor degree holders; they just say im worth more than that! Hivyo wale form six leavers watakaoona they worth more than 150,000/= waachana na ACCESS wakatafute stahili zao, lakini je wapo wangapi???? Mtumishi wa serikali mwenye degree 1 anayeanza kazi (ondoa madaktari na wanasheria, na wafanyakazi kwenye agencies kama TCRA, TEMESA etc ) hakuna anayelipwa more than 350,000/= (you can correct me if this is an old information) Sasa waajiri wanatumia takwimu kama hizo kujipatia unafuu. Suluhisho ni vijana wasomi kujenga mentality ya kujiajiri na kudevelop tabaka kubwa la wajasiriamali wa kati huku tukipigania sera zitakazo wezsha tabaka la wajasiriamali wa kati na wdogo kukua......
Kottler Masoko, kwa hapo kweli huyu employer ni hatariJamaa wameibiwa sana na magraduate. Nafaham some of people walionzia hapa tym ile tunasota kitaani.
Wana branch manager wao mmoja ni six leaver wenyewe wanamfagilia balaa ktk web yao.
The moja reasons ni kwamba hawa jamaa hawana job security kabisa,mishahara mibovu,poor working condition,targets za hatari,hawana KPI zitakazofanya upande salary levels.
VERY POOR EMPLOYER,bora hata ufanye SACCOS.
Na hii cheap labour hii kuna siku tutakuja kutoana roho jamani.
Mie nafanya kazi kampuni moja ya wahindi, boss anakwenda hadi sokoni kuulizia bei ya vitu halafu ndio anakuja kupanga mishara. Ukimwambia maisha yako juu anaanza kukutolea data, "maharage yanauzwa.... sukari..... sasa kwa nini unasema mshara hautoshi" Tutaishi kweli namna hii, hapana bwana!