KwetuKwanza
Member
- Mar 13, 2023
- 82
- 150
Changamoto hiyo inasababisha vyombo vya usafiri hasa Daladala kutopita katika eneo hilo kwa wasiwasi wa kuharibu vyombo vyao vya moto huku abiria nao wakikumbana na adha ya usafiri.
Aidha, pembezoni mwa Barabara hiyo kuna Soko la Wafanyabiashara Wadogowadogo yaani Wajasiriamali wadogo waliohamishwa kutoka Mjini Kati na Makaroboi na kuhamishiwa eneo hilo, ambapo wanapata tabu kuuza biashara zao kutokana na Wateja kutofika eneo hilo kwa sababu ya kero iliyopo.