nina computa 2(laptop), headfone 1, modem 3 (air tel, tigo na voda), flash 1 ya 4gb, simu 2 za mchina, mkoba wa kubebea cd. wadau kwa kutumia assets nilizozitaja hapo naweza kufanya biashara gani? au niongezee assets zipi zisizozidi Tsh.500,000 ili nifanye biashara na itakuwa ni biashara ipi?
Kwa hiyo umekusanya vitu randomly halafu ndo unataka kuunda biashara au ulikuwa na malengo fulani?[/QU hizo nilizo nazo ni assets mkuu, so inabidi unishauri.....
with that 500k you can start NETWORK MARKETING BUSINESS and the return is superb....a new way of product distribution direct from manufacturer to customer...do wana do it? PM me.
nina computa 2(laptop), headfone 1, modem 3 (air tel, tigo na voda), flash 1 ya 4gb, simu 2 za mchina, mkoba wa kubebea cd. wadau kwa kutumia assets nilizozitaja hapo naweza kufanya biashara gani? au niongezee assets zipi zisizozidi Tsh.500,000 ili nifanye biashara na itakuwa ni biashara ipi?
nimeshaisoma mind yako mambo ya forever livingwith that 500k you can start NETWORK MARKETING BUSINESS and the return is superb....a new way of product distribution direct from manufacturer to customer...do wana do it? PM me.
with that 500k you can start NETWORK MARKETING BUSINESS and the return is superb....a new way of product distribution direct from manufacturer to customer...do wana do it? PM me.
haipo network nsiyoipenda dunianikama forever living..nimuzuria semina zao nyingi sana, wao nikujisifu na kutolea mfano binti mmoja alikuwa akisoma coet jinsi alivyonufaika, niwapuuzi sana wale watu.nimeshaisoma mind yako mambo ya forever living
Hayo "malaptop na mamodem" manne ulikuwa unafanyia kaz gani? Nia yangu ni kufaham ujuzi wako ili nipate cha kukushauri,=, otherwise sitakushauri kukodisha cd na kuingiza nyimbo kwenye sim, ni wizi! Kama vipi mwezi wa tano nenda Tandahimba ukasajili fomu sixi liva HESLB, ukifanya elfu kumi kwa kichwa watu miambili utapata mil2 ya mtaji ndani ya mwezi mmoja!
tafta frem ya kawaida ukodishe, toa laki 3 kanunue cd za bongo movies kariakoo na tv pamoja na deck, kakate leseni na kalipie elfu 15 basata. Chukua laptop yako jaza miziki ya kila aina.
Anzisha library ya kukodisha na kuuzia movies.
Halafu chukua modem moja tafta line flani ni free internet accesing uwe unadownload movies mpya na kuuza kwa shillingi elfu 3 mpaka 5 yani zile latest.
Hii biashara inalipa sana ukiwa na location nzuri na ubunifu.
Kuweka nyimbo kwenye simu au flash wimbo 1 ni shillingi tshs 300-500.
Ukiwa kwenye sehemu ambayo ina boda boda na bajaji wengi kila siku hukosi uza nyimbo 50.
50 x 300= 15,000
cd za bongo movies unakodisha na kuuza cd moja shillingi 1000 na kawaida bongo movies cd zao ni part 1 na 2 hivyo basi lazima mtu akichukua cd atachukua 2.
Kwa hiyo kwa siku ukikodisha cd 4 = 4000
ntaishia hapo.
Kwa siku walau huwezi kosa pata elfu 15.
Nakushauri hivyo kwakuwa mimi na rafiki yangu tuna hii biashara na watu wengi hawajui kama inaingiza ela kweli. Pembeni ya fremu yetu yupo jamaa anauza vifaa vya tv na ni fundi tv lakini nakwambia sisi tunaingiza ela zaidi yake. Mimi nimekwambia kwa kifupi lakini hatufungi tukiwa chini ya 25,000 kwa siku.

yaah hii biashara nzuri uswaz sisi huku kwetu cd 1 buku hatuna mchezo na nyimbo 1 300, line za free internet access mimi nilinunua kwa jamaa flani namba sina tena ila alijtangaza kuwa anauza humu humu.
Halafu kuna jamaa katoa idea nzuri hii ya kuwafanyia registration vjana waliomaliza form 6 inalipa sana