hii biashara inalipa kweli??

hii ya kuwafanyia vijana registration unaipata vipi mkuu? nisaidie kuna mdogo wangu kamaliza chuo hana kazi hii inaweza kumfaa japo apate mtaji afanye biashara..

hii mbona simple haitaki hata usumbufu, kuwa na internet yenye kasi walau 250 k/s ingia kwenye website TCU kipindi cha usajili utakuta formula usajili yani ni so simple utasajili watu kuna process zote humo na ingia kwenye tovuti ya bidi ya mikopo pia sajili mtu yani so simple
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…