DOKEZO Hii biashara ya serikali na vyuo vya elimu vya kati mnayofanya bomu lake linakuja

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Moja kwa moja kwnye mada.Nianze kwa kusema binafsi ni mdau mkubwa sana wa elimu hasa ya Tanzania hunidanganyi kitu kuhusu elimu ya bongo kwa shule za serikali maana nimesoma huko na pia nimejitolea shule mbili tatu ili kupoza makali ya ujobless.

Jobless SR.
Mpaka pale watanzania tutakapo jua kwamba jukumu la kusomesha mwanao ni la mzazi sio serikali, ndo akili zitakazo tuka sawa. Elimu ya bure ni siasa wewe ona watoto wanavo pata div1 shule za private na kujiunga serikalini advance kupata kuua ndoto zao kwa kupata div 4 au 0.
 
Sahihi lakini tukirudi kiuhalisia serikali moja ya jukumu lake ni kuhahakisha raia wake wanapata elimh bora ila sema kwavile huko africa nobody care tunaenda tu kila mtu apambane kivyake.
 
Mpaka pale watanzania tutakapo jua kwamba jukumu la kusomesha mwanao ni la mzazi sio serikali, ndo akili zitakazo tuka sawa. Elimu ya bure ni siasa wewe ona watoto wanavo pata div1 shule za private na kujiunga serikalini advance kupata kuua ndoto zao kwa kupata div 4 au 0.
Thread closed
 
Moja kwa moja kwnye mada.Nianze kwa kusema binafsi ni mdau mkubwa sana wa elimu hasa ya Tanzania hunidanganyi kitu kuhusu elimu ya bongo kwa shule za serikali maana nimesoma huko na pia nimejitolea shule mbili tatu ili kupoza makali ya ujobless.

Nchii ngumu sana hii

Jobless SR.
Acheni kulalamika sana nanyie wajinga mmekuwaje lakini watanganyika nyie !? Sasa serikali ulitaka impangie kwenda advance wakati mwanao ana D mbili na C mbili au hata combination hazija balance? Shukuru hata huko kupangiwa chuo maana angeachwa tu uombe mwenyewe kwa Tsh 10,000/=
 
Ujaelewa mada inasemajee
 
Back
Top Bottom