DOKEZO Hii biashara ya serikali na vyuo vya elimu vya kati mnayofanya bomu lake linakuja

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mpaka pale watanzania tutakapo jua kwamba jukumu la kusomesha mwanao ni la mzazi sio serikali, ndo akili zitakazo tuka sawa. Elimu ya bure ni siasa wewe ona watoto wanavo pata div1 shule za private na kujiunga serikalini advance kupata kuua ndoto zao kwa kupata div 4 au 0.
 
Sahihi lakini tukirudi kiuhalisia serikali moja ya jukumu lake ni kuhahakisha raia wake wanapata elimh bora ila sema kwavile huko africa nobody care tunaenda tu kila mtu apambane kivyake.
 
Thread closed
 
Acheni kulalamika sana nanyie wajinga mmekuwaje lakini watanganyika nyie !? Sasa serikali ulitaka impangie kwenda advance wakati mwanao ana D mbili na C mbili au hata combination hazija balance? Shukuru hata huko kupangiwa chuo maana angeachwa tu uombe mwenyewe kwa Tsh 10,000/=
 
Ujaelewa mada inasemajee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…