Arushaone taratibu.... nan kazeeka?!!
Naisubiri ld kwa ham..msalimie sana
The secretary, miss u mingi
beiby nimerudi saivi ntakuwa najibu i was busy na mwenzio saivi zamu yako usilalamike
Kwan ilikua zamu ya nani
mkwe hapa tunadiskasi nn?Kazeeka Kongosho na snowhite tu. Mie na BADILI TABIA tulirudisha umri nyuma. Sasa hivi nna miaka 17 ya umri na mkwe wangu Husninyo kanipiga mwaka mmoja