Mimi naomba Gado kama anasoma mtandao huu atuletee kikaragosi kile maarufu cha Muungwana akilambwa viatu naa wandishi wa habari hapa TZ na kile cha mlolongo wa mafisadi ambapo muungwana anazunguka na kufika mwisho anakuta waheshimiwa sana wakiwa ndio wako mwisho