Hii case ya huyu jamaa yangu inasolviwa vipi wakuu?

Nyie ni watoto wa umri gani?
 
Hapo usimuulize kabisa sasa unasababu ya kuingiza shirika la Ujasusi kazini ukimuuliza tu umeua ushahidi ww weka boda wa kuzisoma nyendo zake mdomdo
Na siku ukim'bamba live inakuwaje mzee,? au ndo kumshughurikia mme mwenza na wese. usifatilie hivyo vitu utafika mbali.

Tengeneza mazingira asipitiwe, japokuwa kupitiwa ni constant.
The pussy isn't yours, it's your turn.
 
Inawezekana mme anayo nyembamba, kule nje kakutana na nene; akirudi kwa mume ina pwaya.
Kama una ujasiri wa kumuacha, mfatilie ujue ukweli; ila kama huwezi kumuacha, usimfuatilie.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ