Hii chuki na wivu havijawahi kutokea kabisa

Hii chuki na wivu havijawahi kutokea kabisa

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Duniani kuna watu wanachuki, wana wivu mpaka unayechukiwa unashangaa why? Kuna jamaa ananichukia kiasi kwamba hata nikisemwa kwa mabaya anapinga. Yaani kila kinachosemwa juu yangu anaonesha mi si lolote sababu ya chuki na wivu wake.

Ali : gudume hafai kabisa hata urafiki wa karibu... Ni malaya,kivuruge mshkaji hajatulia kabisa....

Chukiman: malaya, kivuruge atakuwa gudume?????!!!! Hamna kitu pale... Kuna watu malaya, vivuruge mpaka we mwenyewe utapenda. Gudume hana lolote mchumba tu yule.
 
7D171077-B156-459B-813E-622835AE0656.jpeg
 
Back
Top Bottom