Hii Code kwanini isiwe vazi la taifa sioni Sana ikivaliwa ughaibuni

Hii Code kwanini isiwe vazi la taifa sioni Sana ikivaliwa ughaibuni

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
images (5).jpeg
 
Hili ni taifa la mabaharia, Kigwangala mwenyewe amerudi kundini, mwanzo alikuwa baharia, akajivua uanachama, juzi hapa kaomba msamaha na kapewa kadi ya mpya ya ubaharia.
Kwahiyo Code ya taifa labda iwe ile kule pembeni jamaa aliyevaa shati kali, raba kali na jeans. Maana mabaharia ndiyo mwonekano wao huo.
 
We sema umepata ajira mpya ya kung'oa watu Meno na kucha
 
Unakula why imeitwa kaunda suti.
Ngoja nikutafutie trace back ya kaunda suit Ni vazi la ki Chinese au ngoja nikuwekee hii picha ya mwalimu maana ndio walio leta kaunda suit
Ninavyojua Mimi huko Communist hawaweki cola Kama hapa bongo... Nimefanya uchunguzi nimeona Kama huu mtindo Ni fahari ya taifa letu sijui lakini ndio Mana nimeleta hapa
images (8).jpeg
 
Hii code tamu sana.Ila inavaliwa Maeneo mengi Afrika .hususan Rwanda hii ni Code wanaipenda pia..ila tukii promote sana inaeza kuwa yetu.
 
Back
Top Bottom