Hii combo ya lugha ya kichina na udereva class E inaweza kumtoa mtu kimaisha?

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Kutumia mwaka mmoja kusoma lugha ya kichina na kuwa na fani ya udereva wa gari.

Kwa lengo la kufanya kazi na wachina maeneo mbalimbali inaweza kumtoa mtu kimaisha.

Mwaka mmoja unatosha mtu kujifunza lugha ya kichina na kuwa mtaalamu wa lugha husika?

Karibuni sana kwa mawazo na ushauri.
 
Sijajua vizuri ila kufahamu kichina na kuwa dereva at the same time is a big deal, sana tu. And of course ndani ya mwaka ukiwa committed unaweza kumaster kichina almost 80%. Mimi naenda kuanza January 2027, who is with me? Maana naona ajira ya degree yangu nakosa bora nikaongeze huu ujuzi kidogo, one year won’t hurt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…