Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 974
- 2,106
Mkuu Mimi sijatoa ushuhuda ila nimeuliza tu wataalam waniambie hii imekaaje? binafsi sikushauri kabisa ufanye hayo majaribio Hizo Ni dawa mkuu huenda kwako ikawa madhara.Sikushauri kabisa.Leo nameza viwili japo sina homa wala Malaria halafu nione!
Meza 12 itapendeza.