Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Wandugu,
Naikumbuka sana Pistons ya 2003-2004, enzi hizo kuna kina Teshawn Prince, Ben Wallace, Rasheed Wallace, Chauncey Billups Nk ilikuwa ni balaa full kutupa raha washabiki. Hebu tukumbushane kipindi kile.