Hii dharau ama ubabe?

Hii dharau ama ubabe?

machiaveli

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
2,225
Reaction score
5,055
Juzi kati nimetulia bar moja kwa Morombo, sasa kuna jomba mmoja alikua anakunywa K-Vant kumbe jamaa kichwa panzi!

Akaanza kumzingua bar maid Mara, arushe matusi. Sasa kuna majomba yalikua yamekaa pale kaunta yametulia tu yanashusha mtungi mdogo mdogo kimya kimya

Yakamuita yule bar maid yakamuuliza yule duanzi anakunywa bia gani akajibu Serengeti

Wakamuambia mpe yule duanzi kreti moja ya serengeti alafu muambie atoe jam hapa na asirudi leo tena hapa

Sister kampelekea jamaa, jamaa anashangaa shangaa🤣
Wakamuambia aupokei au?

Jitwishe kreti nenda zako na leo usirudi hapa

Jamaa akajitwisha akang'oa zake😂
 
Sijaelewa umesema alikuwa anakunywa K Vant iweje wampe serengeti..[emoji1745]
Walitaka kumpa bia,hivyo waliuliza anapendelea kunywa bia gani, though jamaa alikua anachanganya vant na sere
 
Ila kuna watu wakilewaga wanasumbua sanaaa juz apa nimeingia bar tunacheki game ya watani kuna jamaa kalewa kila mtu akipita mbele yake anamtukana😂😂😂
 
Back
Top Bottom