johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Anachofanya Trump sasa hivi kuibua Ufisadi na kutumbua kilishafanywa na Shujaa Magufuli kwahiyo siyo Kitu kipya
Trump anatumiwa Department Of Government Efficiency na Shujaa Magufuli yeye alifanya kisheria Kabisa Kwa kutumia Mahakama ya Mafisadi
Ikumbukwe Trump aliwahi kumpongeza Shujaa Magufuli Kwa misimamo yake ya kisayansi kuhusu COVID 19
Ahsanteni sana 😄