SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 509
- 1,391
Hii jumuia ni ya ajabu sana kwa sababu moja ya sifa za Jumui ni kwa wanachama kuwa na umoja na upendo pia, ila sasa kwa EAC ni full kutafutana.
Uganda ana bifu na Kenya kuhusu Biashara, bado ana bifu na Rwanda ya mambo ya usalama. Pia Burundi na Rwanda sio kihivyo sana zina bifu ya hapa na pale.
Sasa hii ya sasa ya Rwanda na Congo ni funga kazi kabisa. Sasa unajiuliza huwa hawa jamaaa wanatumia vigezo vipi kuingiza nchi EAC?
Jumuia hii ipo siku watu watagawana mbao kama ile ya mwanzo kwa sababu imejaaa kuto kuaminiana.