Hii elimu ya kwamba ukipiga mswaki hutakiwa kusukutuwa kwanini hatukufundishwa darasani?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Vitu kama hivi vinapaswa viwe vinafundishwa darasani, kuna namna mitaala yetu inabidi ibadilishwe kabisa

Your browser is not able to display this video.
 
Ni kweli hutakiwi, mimi huwa sisukutui, unatema tu yale mabaki na unasafisha ulimi na tongue scrapper basi, hamna kutumia maji.

Subiri wabishi na wajuaji kuliko madaktari wa kinywa wafike, utaona replies zao.
 
Ni kweli hutakiwi, mimi hua sisukutui, unatema tu yale mabaki basi, ila hamna kutumia maji.

Subiri wabishi na wajuaji kuliko madaktari wa kinywa wafike, utaona replies zao.
Makohozi yako unabakiza mdomo? Sipati picha anaekunyonya mate anakutana na nini
 
Ni kweli yale makohoz na matemate inatakiwa myameze yanaondoa minyoo na bacteria wabaya 🤣🤣🤣
 
Unapoamka asubuh cha kwanza unatakiwa unywe maji ili mate ya kwnza uyameze badae ndo unasafisha kinywa na majivu ya mkaa!
itaendelea..
 
Mkiendelea kuwa mnabeba kila mnachoambiwa huko mitandaoni,mda si mrefu mtachizika.

📌📌📌Mtu makini kile anachosikia au kuambiwa huwa jambo la kwanza ni KUHAKIKI hiyo taarifa.Tofauti na hapo mtaendelea kuburuzwa na hawa wajingawajinga wanaopata airtime bila sababu za masingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…