Hii feni original inatumia Remote naiuza

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
11,145
Reaction score
3,822
Hamjamboo haya kuna feni hapa og za kutoka Dubai Brand Dolphin, inatumia rimoti og

Sababu ya kuuza nimepewa kama zwadi kwenye harusi yangu so mm natumia ac hvyo siwezi itumia, ipo risiti yake halali ya Tra risiti ya manunuzi

Imenunuliwa 145,000

Kwa anayehitaji weka ofa yako hapa 0678096545
Dar es salaam
 
Ingekuwa vyema kama na wewe ungetafuta mtu wako wa karibu umpe zawadi kama ulivyopewa wewe zawadi.
Unauzaje zawadi mkuu?
Kama huihitaji tafuta mtu/ndugu/rafiki umpe kama zawadi
 
Ingekuwa vyema kama na wewe ungetafuta mtu wako wa karibu umpe zawadi kama ulivyopewa wewe zawadi.
Unauzaje zawadi mkuu?
Kama huihitaji tafuta mtu/ndugu/rafiki umpe kama zawadi
Aliyeniletea zawadi harusi yake nilimchangia laki 4 na zawadi ya friji juu mjini hakuna cha bure hata yeye mwenyewe hajarudisha thamani.niliyompa
 
Huna hata X umpe iwe ukumbusho wake kwako na siku ukiwa na upwiru akupoze.
Weka akina kwa X jombaa!
 
30,000 chap kama hutaki pita hivi bwana harusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…