CHRISTURKER
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 267
- 55
Jamaa yangu kapigwa fine hii jamani, hivi uchakavu wa seat cover nao ni kosa la barabarani kweli? Trafic police huyu mie kama sijamwelewa hivi.Tujuzane tu ili na wengine tutie maji, coz mwenzetu ndo kesha nyolewa hivyo. Na jamaa alopigwa fine hii ni Mzungu