Hii fine ya Uchakavu wa seat cover ni Halali kweli? Au jamaa kaonewa.(see attachment)

CHRISTURKER

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
267
Reaction score
55
Jamaa yangu kapigwa fine hii jamani, hivi uchakavu wa seat cover nao ni kosa la barabarani kweli? Trafic police huyu mie kama sijamwelewa hivi.Tujuzane tu ili na wengine tutie maji, coz mwenzetu ndo kesha nyolewa hivyo. Na jamaa alopigwa fine hii ni Mzungu
 
Hebu soma sheria husika ndo utapata majibu murua!
 

Kuna kipengele kinachosema 'UCHAKAVU WA GARI' Bila kubainisha aina, huu mwanya --------- vibaya na traffic police bila hekima
 
Jaribu na kucheki By-Laws

Sasa mkuu unatoa msaada au unamkomesha mleta mada, ameshasema yeye kwake haya mambo ni mapya hivyo kama kisheria inakubalika basi muelimishe sio kila muda saoma hiki mara soma kile, ndio kuonyesha kwamba wewe ni mjuvi sana wa sheria za barabarani au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…