Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Ukishindwa kununua gari inabidi ununue hiyo.Habari zenu?
Hizi magari aina Suzuki Every vipi uimara wake na changamoto zake kwa anayezifahamu...
Nimeona zinapeta peta hapa mjini
Asante
Gari yoyote tofauti na toyota bei ya spare ni mlima, usije sema hatujukuambia.Habari zenu?
Hizi magari aina Suzuki Every vipi uimara wake na changamoto zake kwa anayezifahamu...
Nimeona zinapeta peta hapa mjini
Asante
mafuta ya 10,000/ unatumia mwezi mmoja,ila kakiruka ukichaa,kukatuliza ni shida sana...Habari zenu?
Hizi magari aina Suzuki Every vipi uimara wake na changamoto zake kwa anayezifahamu...
Nimeona zinapeta peta hapa mjini
Asante
NakaziaWeka ka picha bosi.