Hii gari Alphard imenifurahisha sana, sijawahi ona ya hivi

Hii gari Alphard imenifurahisha sana, sijawahi ona ya hivi

fredo fred

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
748
Reaction score
1,615
Hii gari nimeiona kwenye facebook groups
Ni Alphard ila mimi sijawah kuiona alphard ya hivi [emoji23]

Hii gari sura yake inachekesha jamani tuache utani.

FB_IMG_16250362361398104.jpg
 
Wamefanya upgrade lengo nadhani walitaka ifanane na velfire ila mahesabu ya kiuhandisi katila uundaji wa bodi ya gari hawakuzingatia kbs ....kiufupi ujuaji mwingi unaharibu thamani ya gari

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom