Hii gari Alphard imenifurahisha sana, sijawahi ona ya hivi

Wamefanya upgrade lengo nadhani walitaka ifanane na velfire ila mahesabu ya kiuhandisi katila uundaji wa bodi ya gari hawakuzingatia kbs ....kiufupi ujuaji mwingi unaharibu thamani ya gari

sent from HUAWEI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…