Hii gari bei gani ?

Hii gari bei gani ?

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Wakuu

Hizi gari naziona sana town,

Ni bei gani hizi gari, labda naweza kujichanga nikanunua
 

Attachments

  • images (1) (13).jpeg
    images (1) (13).jpeg
    6 KB · Views: 7
hiyo kuinunua kuanzia Tsh. millioni 250 na ukiwapa kodi yao TRA sio chini ya milion 150..kuimiliki hii benzi andaa kuanzia million 400-500.
 
Unaweza kumiliki kwa kulipa taratibu ila kuingiza hela zote hizo kwa wakati mmoja basi utakuwa na chenji ndefu sana
Tuambiane tu ukweli
 
Back
Top Bottom