Hii gari bei gani ?

hiyo kuinunua kuanzia Tsh. millioni 250 na ukiwapa kodi yao TRA sio chini ya milion 150..kuimiliki hii benzi andaa kuanzia million 400-500.
 
Unaweza kumiliki kwa kulipa taratibu ila kuingiza hela zote hizo kwa wakati mmoja basi utakuwa na chenji ndefu sana
Tuambiane tu ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…