Hii gari ilifikaje hapo juu ya mti?

Hata hiyo photo shop imeshindwa mno. Ukiangalia kwa makini hilo gari lilivyokaa hakuna balance ya kubaki hapo juu. Inatakiwa ianguke.
 
Ni sawa na Yanga kuwa kileleni mwa ligi, unabaki kujiuliza walifikaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…