Hii gari inaendeshwaje wakati haina side mirror

Hii gari inaendeshwaje wakati haina side mirror

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Naomba kutambua hii chuma inaendeshwa namna gani wakati haina side mirror?
FB_IMG_1650399773759.jpg
 
Mirrors zimeondolewa kupunguza ukinzani wa upepo! Badala yake zimewekwa camera..

Utaratibu huu utakuwa ni kwa magari yote ni swala la muda tu!!
 
Mbona zinaonekana hapo mkuu, au we umekariri zinakaa mlangoni. Zipo juu hapo nyeusi hizo. Sema vioo vyake vipo ndani.
 
Back
Top Bottom