Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
🤣🤣🤣Kwako side mirrors zinatakiwa ziweje?
Huzioni hapo juu?
Ila zenyewe ni camera, zinaproject kwenye screen kwenye dashboard.
Sent using Jamii Forums mobile app
Azam ananunuaje gari za Makafir?Naomba kutambua hii chuma inaendeshwa namna gani wakati haina side mirror? View attachment 2193498
Unataka anunue gari za wapi?Azam ananunuaje gari za Makafir?
SaudiaUnataka anunue gari za wapi?