Hii gari itanifilisi na hawa mafundi wapiga ramli

kama umebadilisha vitu vyote .hapo ce unaona bado engine tu. gari inakua mpyaa nenda ilala nunua Engine .ushakula nbuzi mzima unashindwa mkia
 
sema ni gari gan?maana gari ndogo zipo nyingi naweza nikakusaidia kidogo
 
Toa plugs zote, ziangalie kama zina leakage. Huwa inafanya sana gari kuchemsha
 
Mfundi wengi bado hawaendani na technolojia ya magari.
 
Magari ni kitu ambacho watawala hawapendi kweli wananchi wawe nayo. Ni basi tu ubishi
Wana roho za kutu.. wao wanapenda peke yao wawe kwenye ma Lexus... sie kwenye IST.. ni ubinafsi ulio pitiliza
 
Hebu ungetuambia ni kigari jamii gani usikute ni bajaj tunapoteza muda hapa.
 
Nguvu inaenda sambamba na ulaji wa kiwese. Thats same with turbochargers


Mkuu gari ilikuwa inafunguka balaa just as when I imported it... ulaji wa mafuta sija notice any difference kwa sbb hapa town bibie anaitimia sana na hajanilalamikia... but naamini itakuwa imeongeza ulaji japo sijaunotice... mafuta naweka kwa rate ile ile kama awali.
 
Hahah ila una pollute mazingira mkuu unatakiwa u replace ule utumbo
 
Nenda youtube gari ya Mwaka 2000 utaweza kutengeneza mwenyewe nyumbani kwako.

Wana video nzuri sana ambazo rahisi kuelewa.
 
Naomba namba yako gari yangu inanisumbua sana. Tatizo km lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…