Hii gari niitengee bei gani?

H

Hata mimi nilikuwa nashinda na info na cost kuhusu huu mzigo ebu tusubiri wakongwe

Kitu ni 8,033,397 Dolla 3.500 kodi angalia hapo chini kutoka mtandao wa TRA
Reference Number1617162321

Make:TOYOTA

Model:RUSH

Body Type:SUV

Year of Manufacture:2006

Fuel Type:PETROL

Engine Capacity:1001 - 1500 CC

Customs Value CIF (USD):4389.45

Import Duty (USD):1097.36

Excise Duty (USD):274.34

Excise Duty due to Age (USD):823.02

VAT (USD):1236.19

Custom Processing Fee (USD):26.34

Railway Dev Levy (USD):65.84

Total Import Taxes (USD):3523.09

Total Import Taxes (TSHS):7613397.49

Vehicle Registration Tax (TSHS):420000.00

TOTAL TAXES (TSHS):8033397.49
 
Ina maana ni 16.5m hivi mkuu.
 

Yani kodi ni ni sawa na bei ya Gari husika..... Tehetehe
 
Ina maana ni 16.5m hivi mkuu.
Mimi nimekuonyesha kodi tu ndugu yangu ukijumlisha na hiyo bei ya huko kama wanaweza kushuka ila kutakuwa na issue ya kuisafirisha na watu wakuitoa weka kama huyo jamaa atashuka kidogo utaongeza kama $ 1,000 kwa ajili ya kusafirisha na clarance agent ale hapo kwahiyo nafikiri ukiandaa kama 18.5 mpaka 19 naamini unaweza kutoa mzigo. Siku zote kadiria juu
 
Yani kodi ni ni sawa na bei ya Gari husika..... Tehetehe

Ndio hivyo ndio maana gari kwetu ni ghali na hii wameipa eti ni SUV status nafikiri hii wanatakiwa kuingalia gari hii ikiwa jipya mjapani ananua $ 12,000 miaka kumi sawa na ya kwetu
 
Kwa kuongezea ni heri utafute ya 2009 maana kodi yake ni 8.8 ongezeko la laki tano tu kwa tofauti ya miaka mitatu ndipo hapo ukiandaa 20m inakuwa imekaa vyema nafikiri sasa utakuwa umenipata
 
Haya mahesabu yako swahili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…